Rais wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Said leo amewaongoza Wananchi katika zoezi la kuchangia Damu linaloendelea Makao Makuu ya klabu ya Yanga na Hospitali ya Mloganzila, jijini Dar es salaam
Wananchi wanaendelea kujitokeza kushiriki zoezi hilo ambalo litaendelea mpaka jioni
Kuna zawadi ya jezi na tiketi kwa wale wanaoshiriki









ADVERTISE HERE