Hongera Mwamnyeto kwa kurudisha kwenye jamii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Mar 2023
Hongera Mwamnyeto kwa kurudisha kwenye jamii

Nahodha wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto kupitia Taasisi yake ya Mwamnyeto Foundation, jana aliwatembelea watoto yatima na wale wenye Ulemavu wa macho katika Miskiti wa Islamic Mwananyamala Jijini Dar es Salaam na kutoa misaada mbalimbali

Mwamyeto amesema anamshukuru Mwenye ez Mungu kwa kile alichomjalia na hivyo nae ameona awasaidie wale wenye uhitaji

"Tunamshukuru Mungu kwa kila alichotujaalia na kwa kile tulichonacho Mungu alichotupa na sisi tunawapatia wenzetu ata kama ni kidogo tunagawana nao," alisema Mwamnyeto

Klabu ya Yanga kwa kushirikiana na GSM Foundation imefanya kuwa sehemu ya utaratibu kuzisaidia jamii

Imekuwa hivyo sasa hata kwa wachezaji wa Yanga ambao kupitia taasisi zao wanasaidia jamii zao

Tumeona wachezaji kama Bernard Morrison, Fiston Mayele, Kibwana Shomari, Dickson Job na wengine wakifanya matukio hayo

Hongera Mwamnyeto na wale wote wanaokumbuka kusaidia wale wenye uhitaji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’