Ndio! Yanga iko kileleni mwa kundi D baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya US Monastir leo na kukata tiketi ya kutinga robo fainali
Yanga itakwenda kukamilisha ratiba ya mechi ya mwisho dhidi ya TP Mazembe April 02 huko DR Congo
Ili kujihakikishia inamaliza nafasi ya kwanza, Yanga itakwenda kusaka ushindi DR Congo
Tayari tumekwenda robo fainali, sasa mkakati kubaki hapo hapo juu mpaka mwisho..!

ADVERTISE HERE