Nyota wa Yanga walioitwa Stars watua Misri

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Mar 2023
Nyota wa Yanga walioitwa Stars watua Misri

Msafara wa wachezaji wa Yanga walioitwa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' wamewasili Misri kuungana na wenzao kuelekea mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya Afcon 2023 dhidi ya Uganda

Ijumaa ya wiki hii Tanzania itachuana na Uganda katika mchezo utakaopigwa katika Mji wa Ismailia huko Misri

Metacha Mnata, Kibwana Shomari, Dickson Job, Ibrahim Bacca, Bakari Nondo Mwamnyeto, Mudathir Yahya na Feisal Salum walijumuishwa katika kikosi hicho

Wakati wenzao wakisafiri kuelekea Misri siku ya Jumapili, Yanga ilikuwa jijini Dar es salaam ikikabiliwa na mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya US Monastir

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’