Kikosi cha Yanga kimeendelea kujifua kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers.
Kiungo Thabani Kamusoko, mshambuliaji Obrey Chirwa na nahodha Nadir Haroub Cannavaro ni miongoni mwa wachezaji waliorejea kikosini na kufanya mazoezi kilamilifu.

Yanga itaivaa Township Rollers keshokutwa Jumanne uwanja wa Taifa mchezo ukitarajiwa kuanza saa kumi na nusu jioni.

ADVERTISE HERE