Kila la kheri Stars dhidi ya Uganda leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Mar 2023
Kila la kheri Stars dhidi ya Uganda leo

Jioni ya leo timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itakuwa dimba huko Misri kupepetana na timu ya Taifa ya Uganda 'Uganda Cranes' katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya Afcon 2023

Mchezo huo utapigwa uwanja wa Suez Canal, katika Mji wa Ismailia huko Misri, Uganda wakiwa ni wenyeji

Ni vita kati ya Khalid Aucho dhidi ya nyota wenzake saba kutoka kikosi cha Yanga ambao wako katika timu ya Taifa ya Tanzania

Mechi muhimu kwa Tanzania kusaka ushindi ili kuweka hai matumaini ya kufuzu Afcon 2023, ambazo fainali zake zitafanyika Ivory Coast baadae mwaka huu

Kila la kheri Taifa Stars...!

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’