Yanga kuzindua Tawi la Wanachama DR Congo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Mar 2023
Yanga kuzindua Tawi la Wanachama DR Congo

Klabu ya Yanga imeondoka nchini leo Alhamisi kuelekea DR Congo ambako wanakabiliwa na mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe

Mchezo huo wa kuhitimisha hatua ya makundi, utapigwa Jumapili, April 02 katika dimba la TP Mazembe, saa 10 jioni

Ni mechi muhimu kwa Yanga kusaka ushindi ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kumaliza kinara wa kundi D

Msafara wa Yanga utajumuisha Mashabiki ambao wanakwenda kuongeza hamasa DR Congo leo ikiwa siku ya mwisho kujiandikisha zoezi likitarajiwa kufungwa saa 10 jioni

Meneja wa masuala ya Digitali, Priva Abiudi Shayo 'Privaldinho' amesema wakiwa DR Congo wanatarajiwa kuzindua tawi rasmi la klabu hiyo katika Mji wa Lubumbashi

Zaidi ya Wananchi 50 kutoka DR Congo wamejiandikisha kuwa Wanachama wa Yanga ambapo Privaldinho amesema watakabidhiwa kadi zao kwenye hafla ya uzinduzi wa Tawi hilo

Msafara wa Mashabiki wa Yanga unatarajiwa kuondoka jijini Dar es salaam kesho Alhamisi kuelekea DR Congo ambapo watakuwa huko kwa siku tatu, timu itarejea nchini April 03 baada ya mchezo dhidi ya TP Mazembe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
44m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’