Yanga inahitimisha hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika kwa mchezo dhidi ya TP Mazembe
Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze, ameanza na kikosi hiki;
1. Metacha Mnata
2. Dickson Job
3. Joyce Lomalisa
4. Ibrahim Bacca
5. Bakari Mwamnyeto
6. Yannick Bangala
7. Jesus Moloko
8. Mudathir Yahya
9. Fiston Mayele
10. Salum Abubakar
11. Kennedy Musonda
SUB
Erick Johora
Djuma Shaban
Tuisila Kisinda
Clement Mzize
Mamadou Doumbia
Denis Nkane
Kibwana Shomari
Zawadi Mauya
Farid Mussa
ADVERTISE HERE