Kwa wale mliosoma Cuba nadhani mmeuelewa ujumbe wa Rais wa Yanga Injinia Hersi Said baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya TP Mazembe huko Lubumbashi
Yule winga tereza wa TP Mazembe hakuwepo leo uwanjani, si ndio anaitwa Felippe Kinzumbi!!!! Imeisha hiyoooooo...
Wananchi wamelipa kisasi kwa TP Mazembe leo, rudisha kumbukumbu kwenye michuano ya kombe la Shirikisho mwaka 2016
TP Mazembe iliifunga Yanga bao 1-0 katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kisha wakashinda mabao 3-1 katika mchezo uliopigwa kwenye uwanja wao
Wananchi tunasema hatuna deni nao...! Alama 13 kileleni mwa kundi D, sasa tuomba Real Bamako amng'ang'anie Monastir huko Tunisia...!
ADVERTISE HERE