Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam wakitokea Lubumbashi DR Congo ambako jana walifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya TP Mazembe katika mchezo wa kuhitimisha hatua ya makundi kombe la Shirikisho barani Afrika






ADVERTISE HERE