Yanga yakabidhiwa Mil 5 ya Mama

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Apr 2023
Yanga yakabidhiwa Mil 5 ya Mama

Klabu ya Yanga imekabidhiwa kitita cha Tsh Milioni 5 baada ya kufunga bao moja kwenye mchezo wa kuhitimisha hatua ya makundi michuano ya kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe

Ni ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk Samia Suluhu Hassan akiendelea kumwaga Mamilioni kwa kila goli linalofungwa katika michuano hiyo

Katika hatua ya makundi Yanga imepachika mabao tisa na kuvuna kiasi cha Tsh Milioni 45

Wananchi wana nafasi ya kuvuna zaidi pesa za Mama katika hatua ya robo fainali na kuendelea

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’