Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini Avic Town kujiandaa na mchezo wa robo fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Geita Gold ambao utapigwa Jumamosi, April 08 katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi







ADVERTISE HERE