Kituo cha runinga cha Azam leo kitaonyesha mubashara mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa kati ya Yanga dhidi ya Township Rollers kupitia chaneli ya Azam Sport 2.
Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 10:30 jioni katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Hii ni fursa kwa wale wa mikoani na watakaoshindwa kufika dimba la Taifa, wataweza kuushuhudia mchezo huo mubashara wakiwa majumbani kwao.
Kwa wale wa Dar na maeneo ya jirani, ZIMA TV NJOO UWANJANI UWE SEHEMU YA HISTORIA ITAKAYOANDIKWA

ADVERTISE HERE