Nabi aziwahi Kagera Sugar, Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Apr 2023
Nabi aziwahi Kagera Sugar, Simba

Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amerejea nchini akitokea Tunisia ambako alikwenda kuhuisha hati yake ya kusafiria

Yanga inakabiliwa na mechi mbili za Ligi Kuu kabla ya kuwakabili Rivers United kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali kombe la Shirikisho barani Afrika utakaopigwa April 23 huko Nigeria

Keshokutwa Jumanne April 11 Yanga itaikaribisha Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu utakaopigwa uwanja wa Azam Complex

Jumapili April 16 mchezo wa pili dhidi ya Simba utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa. Hizi ni mechi mbili muhimu ambazo Yanga inahitaji kushinda ili kurahisisha mbio zake kuelekea ubingwa wa 29

Nabi alilazimika kusafiri Tunisia kuhuisha hati yake ya kusafiria akikosa safari ya Yanga DR Congo kuhitimisha hatua ya makundi ya Shirikisho dhidi ya TP Mazembe

Amekosa mechi mbili, mchezo wa robo fainali kombe la FA dhidi ya Geita Gold ukiwa wa pili Yanga ikitinga nusu fainali kwa ushindi wa bao 1-0

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’