Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe anatarajiwa kuwa mgeni rasmi leo wakati Yanga itakapoivaa Township Rollers kwenye mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa barani Afrika.
Mchezo huo utapigwa kwenye uwanja wa Taifa majira ya saa 10:30 jioni.
Yanga itakuwa ikisaka ushindi muhimu nyumbani ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya makundi ya michuano hiyo mikubwa kabisa barani Afrika

ADVERTISE HERE