Yanga imepoteza mchezo muhimu wa ligi ya mabingwa nyumbani kwa kukubali kipigo cha mabao 2-1.
Haukuwa mchezo mzuri sana kwa upende wa wenyeji. Makosa yalikuwa mengi sana kwa wachezaji, hofu ya mchezo ilionekana kuwakumba.
Hata hivyo hakuna lisilowezekana katika soka, bado Yanga inaweza kupindua matokeo haya ugenini. Yanga inao uwezo wa kufunga mabao mawili au zaidi ugenini kama walivyofanya Rollers.
Kocha wa Township Rollers alifanikiwa kimbinu, timu yake imecheza vizuri, ushindi ni matokeo ya ubora wao dimbani leo.
Sasa Yanga inalazimika kujipanga kwelikweli ili kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa marudiano, March 17, 2018.
Kufungwa ni matokeo ya mpira. Muhimu sasa kuendelea na maandalizi ya michezo inayofuata.

ADVERTISE HERE