Kapteni 'Nondo' Mwamnyeto

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Apr 2023
Kapteni 'Nondo' Mwamnyeto

Nahodha wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto leo amedhihirisha anaweza kufanya zaidi ya majukumu yake katika safu ya ulinzi

Mabao mawili yaliyofungwa na Yanga katika mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali kombe la Shirikisho la CAF dhidi ya Rivers United, yamepita mguuni kwake

Mwamnyeto alipiga pasi mpenyezo kwa Mayele kwenye dakika 71, akafunga bao lake la nne katika michuano hiyo msimu huu

Katika dakika ya 83 Mwamnyeto tena akashiriki kwenye shambulizi la kushitukiza lililofanywa na Yanga na kwa mara nyingine akamtengenezea Mayele kufunga bao la pili kwa Yanga likiwa la tano kwake katika michuano hiyo

Mwamnyeto leo anastahili kuwa nyota wa mchezo kwani pamoja na kushiriki katika mabao yote, pia alifanya kazi kubwa kwenye safu ya ulinzi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
34m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’