Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Rivers United hapo jana, msafara wa kikosi cha Yanga umeondoka Mji wa UYO kurejea Lagos kwa ajili ya safari ya Tanzania kupitia Addis Ababa, Ethiopia

ADVERTISE HERE