Arafat anunua tiketi 500, Yanga vs Rivers United

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Apr 2023
Arafat anunua tiketi 500, Yanga vs Rivers United

Makamu wa Rais wa Yanga, Arafat Haji amenunua tiketi 500 za mchezo robo fainali kombe la Shirikisho la CAF dhidi ya Rivers United, kwa ajili ya wote watakaojitokeza kwenye zoezi la uchangiaji damu litakalofanyika siku ya Ijumaa tarehe 28 katika viwanja wa Leaders Club, Dar Es Salaam

Klabu ya Yanga imekaribisha Makampuni/Taasisi kununua tiketi kwa ajili ya kuwazawadia wa0le wote watakaojitolea damu kwa ajili ya kuokoa maisha

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’