Mageti ya Uwanja wa Benjamin Mkapa tayari yapo wazi, muda wa Wananchi kusogea kwa ajili ya jambo la nchi
Katika mchezo wa mkondo wa pili robo fainali ya kombe la Shirikisho dhidi ya Rivers United leo, Yanga itakuwa ikiiwakilisha Tanzania na nchi majirani Afrika Mashariki na Kati
Leo ndio siku ya kuwaonyesha Rivers United ukubwa wa Yanga!





ADVERTISE HERE