Kuna Wananchi 10 watapata fursa ya kusafiri na kikosi cha Yanga kuelekea Afrika Kusini kushuhudia mchezo wa mkondo wa pili nusu fainali ya kombe la Shirikisho kati ya Malumo Galants dhidi ya Yanga ambao utapigwa May 17
Wananchi hao watapatikana kupitia droo kubwa itakayofanyika miongoni mwa wale watakaoshiriki shindano maalum
Kushiriki 'mchongo' huo ni rahisi, ingia kwenye menu ya malipo: Chagua LIPA BILI, kisha ingiza namba ya kampuni 553111. Namba ya kumbukumbu andika YANGA au 111 kishan weka kiasi cha shilingi 2,000. Thibitisha malipo yako na uingize namba ya siri
Kadiri unavyoshiriki mara nyingi ndivyo unavyojiongezea nafasi ya kushinda
ADVERTISE HERE