Klabu ya Yanga leo Ijumaa, May 05 2023 itakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari
Mkutano huo utafanyika Serena Hotel saa 5:30 asubuhi. Yanga inatarajiwa kuweka mikakati kuelekea mchezo wa mkondo wa kwanza nusu fainali kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Malumo Gallants ambao utapigwa Jumatano, May 10

ADVERTISE HERE