Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam wakitokea mkoani Singida ambako waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Singida BS katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Yanga imerejea Dar kujiandaa na mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la CAF dhidi ya Malumo Gallants







ADVERTISE HERE