Rais Samia aipongeza Yanga kwa ushindi dhidi ya Marumo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 May 2023
Rais Samia aipongeza Yanga kwa ushindi dhidi ya Marumo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Yanga kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Marumo Gallants katika mchezo wa mkondo wa kwanza nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika

Kupitia ujumbe alioweka kwenye ukurasa wa mtandao wa kijamii, Rais Samia ameitakia Yanga maandalizi mema kwa ajili ya mchezo wa marudiano utakaofanyika wiki ijayo huko Afrika Kusini ili kuweza kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’