Mechi ya kutangaza ubingwa wa ligi kuu ya NBC kwa Yanga itapigwa kesho Jumamosi, May 13 katika uwanja wa Azam Complex, saa 10 jioni
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

ADVERTISE HERE