Ni ubingwa wa kibabe kwa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 May 2023
Ni ubingwa wa kibabe kwa Yanga

Msimu huu ni timu chache zilizoweza kuhimili presha ya Yanga pale zilipoongoza. Leo Dodoma Jiji waliamini wanaweza kushinda mchezo na kuanza kupoteza muda

Lakini Profesa Nasreddine Nabi kama ilivyo kawaida wake, akaingiza silaha tatu muhimu zilizoiangamiza Dodoma Jiji

Hapa nawazungumzia Mudathir Yahya, Farid Mussa na Clement Mzize ambao walihusika katika mabao yote matatu yaliyofungwa katika kipindi cha pili

Yanga imetwaa ubingwa kwa kufikisha alama 74, kama walivyofanya msimu uliopita lakini wakati huu bao wana mechi mbili mkononi

Leo Wananchi wameonyesha ukomavu, kwani licha ya kuwa nyuma katika mchezo ambao walihitaji ushindi ili kutwaa ubingwa, wachezaji 'hawakupanic', waliendelea kupitisha mpira katika njia zake na mwisho Dodoma Jiji walikubali yaishe

Pongezi kwa benchi la ufundi na wachezaji wote wa Yanga kwa kuhakikisha leo wanatwaa ubingwa

Ilikuwa muhimu sana kumaliza kazi leo ili Yanga ijikite kwenye michuano mingine kwa kuanzia na mchezo wa marudiano dhidi ya Marumo Gallants

Yanga itasafiri Alfajiri ya kesho Jumapili kuelekea Afrika Kusini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
25m ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
49m ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
8h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’