Baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC, kikosi cha Yanga kimeondoka nchini Alfajiri ya leo Jumapili kuelekea Afrika Kusini
Yanga inakabiliwa na mchezo wa mkondo wa pili nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Marumo Gallants
Mchezo huo utapigwa Jumatano, May 17 katika dimba la Royal Bafokeng





Kila la kheri Wananchi...!
ADVERTISE HERE