Msafara wa kikosi cha Yanga umewasili Afrika Kusini na kupokewa na ubalozi wa Tanzania nchini humo
Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi aliwakaribisha Wananchi huko Afrika Kusini akiwahakikishia usalama na uungwaji mkono kutoka kwa Watanzania wengi wanaoishi nchini humo


ADVERTISE HERE