Ubingwa Ligi Kuu wamuongezea 'mzuka' Mzize

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 May 2023
Ubingwa Ligi Kuu wamuongezea 'mzuka' Mzize

Mshambuliaji chipukizi wa Yanga, Clement Mzize amesema ubingwa waliochukua jana unamaana kubwa katika historia ya maisha yake ya soka la ushindani

Mzize ambaye alitoa assist bao la pili la Yanga katika ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Dodoma Jiji,  amesema mafanikio hayo yatamuongezea ari ya kuzidi kujituma ili aweze kufanya vizuri zaidi siku zijazo

"Namshukuru Kocha wangu Nasreddine Nabi kwangu ni kama baba kutokana na ushauri anaonipa lakini pia ni mtu mwenye imani kubwa na mimi hilo linanifanya kuongeza bidii na kujituma ili nimfurahishe," amesema Mzize.

Mshambuliaji huyo amesema kwa nafasi aliyopewa ataendelea kupambana ili msimu unaokuja aweze kufanya vizuri zaidi ikiwemo kuwa tegemezi kwenye kikosi cha kwanza.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’