Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa orodha ya viwango bora kwa kipindi cha Mei 1, 2022 hadi Aprili 30, 2023 ambapo timu mbili za Tanzania zimeingia 10 bora
Yanga ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara wanashika nafasi ya 9 Afrika na 104 duniani huku Simba ikishika nafasi ya 10 na 105 duniani. Nafasi ya kwanza Afrika inashikiliwa na Al Ahly ambaye kwenye nafasi ya duniani yupo namba 5
IFFHS ndio waliotoa takwimu za viwango na ubora wa Ligi ambapo Ligi Kuu ya NBC (Tanzania Bara) ilishika nafasi ya tano

ADVERTISE HERE