Bilioni 1.9 za CAF mikononi mwa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 May 2023
Bilioni 1.9 za CAF mikononi mwa Yanga

Wakati Yanga ilipotinga nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika huku watani zao Simba wakiondoshwa kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa, kuna watu waliamua kujifariji kupitia kiasi cha pesa ambazo kila timu itavuna katika hatua waliyofikia

Huko kwenye mitandao ya kijamii zilitawala takwimu zilizoonyesha Simba atavuna Bil 1.5 na Yanga Bil 1.1 na kuaminishana kuwa michuano ya Shirikisho ni midogo hata kifedha

Lakini wakati huu hutaziona tena hizo takwimu kwani baada ya kutinga fainali ya Shirikisho, Wananchi wamejihakikishia kuvuna 'mkwanja' wa maana

Mpaka sasa Yanga imejihakikishia kuvuna Tsh Bilioni 1.9 na kama Yanga itatwaa ubingwa basi itavuna Tsh Bilioni 4.7

Juu ya pesa za CAF, Yanga itavuna zaidi ya Bil 1.5 kutoka kwa Wadhamini wao kampuni ya Haier ambapo Rais wa Yanga Injinia Hersi Said alibainisha kuwa pesa watakayolipwa na Haier zitaongezeka kwa kuzingatia hatua ambayo watafikia katika michuano hiyo 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
3h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
8h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’