Kikosi cha Yanga kimerejea salama kutoka Afrika Kusini walikofanikiwa kutinga fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-1 dhidi ya Marumo Gallants
Baada ya mapumziko mafupi kikosi cha Yanga kitaelekea mkoani Singida ambako wanakabiliwa na mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Singida BS katika uwanja wa LITI siku ya Jumapili






ADVERTISE HERE