Mayele, Diarra kuwania tuzo mchezaji bora NBC PL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 May 2023
Mayele, Diarra kuwania tuzo mchezaji bora NBC PL

Wachezaji wa Yanga Fiston Mayele na Djigui Diarra wametajwa miongoni mwa wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu ya NBC 2022/23

Katika orodha hiyo pia wamo Mzamiru Yassin, Saido Ntibazonkiza wate wa Simba na Bruno Gomez wa Singida BS

Diarra pia anawania tuzo ya golikipa bora wakati Dickson Job na Bakari Mwamnyeto wanawania tuzo ya beki bora wakichuana na Hennock Inonga, Shomari Kapombe na Mohammed Hussein wote wa Simba

Stephane Aziz Ki anawania tuzo ya kiungo bora sambamba na Clatous Chama, Saido Ntibazonkiza, Mzamiru Yassin wote wa Simba na Bruno Gomez wa Singida BS

Nasreddine Nabi anawania tuzo ya kocha bora wakati Clement Mzize anawania tuzo ya mchezaji chipukizi

Orodha ya tuzo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’