Mwamuzi Jean-Jaques Ngambo Ndala kutoka DR. Congo ameteuliwa na Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) kuwa mwamuzi wa kati kwenye Mchezo wa kwanza wa Fainali ya CAFCC, Yanga SC dhidi ya USM Alger utakaochezwa Dar Es Salaam Jumapili, May 28 2023

ADVERTISE HERE