Mapema leo, Mkurugenzi wa Mashabiki na Wanachama wa Yanga Haji Mfikirwa akiongozana na Afisa habari Ali Kamwe sambamba na maofisa wa Yanga,Β walitembea chuo cha Ardhi na kuzungumza na wanafunzi ambao ni mashabiki wa Yanga
Yanga imetoa tiketi 500 kwa wanafunzi watakaohudhuria mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya USM Alger utakaopigwa Jumapili hii





ADVERTISE HERE