Kadi za njano zamkosesha Aucho fainali CAF CC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 May 2023
Kadi za njano zamkosesha Aucho fainali CAF CC

Yanga inakwenda kuwania ubingwa wa kombe la Shirikisho barani Afrika katika mechi mbili za fainali dhidi ya USM Alger bila ya kiungo wake Khalid Aucho

Yanga imethibitisha kuwa Aucho atakosa mechi zote mbili kutokana na idadi ya kadi sita za njano alizopata katika michuano hiyo

Kulingana na kanuni za CAF mchezaji anapopata kadi tatu za njano atakosa mchezo mmoja, kadi sita ni michezo miwili lakini kadi tisa atakosa mechi zote zilizosalia kwenye mashindano hayo katika msimu husika

Hii sio habari nzuri kwa Aucho na hata mashabiki wa Yanga ambao walikuwa na matumaini kuwa angeweza kucheza mechi ya pili kule Algeria

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’