Asilimia 80 ya tiketi zimenunuliwa - Kamwe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 May 2023
Asilimia 80 ya tiketi zimenunuliwa - Kamwe

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema zoezi la mauzo ya tiketi linakaribia kuhitimishwa akiwataka wale ambao hawana tiketi wanunue leo

Kamwe amesema asilimia 80 ya tiketi zimenunuliwa na pengine leo zoezi hilo litahitimishwa

"Mpaka sasa asilimia 80 ya tiketi zote za mchezo zimenunuliwa, zimebaki tiketi chache tu ambazo pengine mpaka kufika jioni zitakuwa zimemalizika. Bado unaweza kujipatika tiketi yako katika vituo vilivyotangazwa"

"Kuhusu tiketi zilizotolewa na Mh Rais Dk Samia Suluhu Hassan pamoja na wadau wengine, uongozi utatangaza utaratibu wa ugawaji wa tiketi hizo"

"Kesho (Jumamosi) baada ya jogging, Rais wa Yanga Injinia Hersi Said pamoja na Sekretarieti, watazungumza na Wanahabari kutangaza utaratibu wa kupata tiketi"

"Ni lazima kila shabiki atakayeingia uwanjani awe na tiketi, na utaratibu ulioandaliwa utahakikisha shabiki anayepewa tiketi anakwenda uwanjani," alisema Kamwe

Aidha Kamwe amewataka Wananchi kujitokeza kwa wingi leo Mbagala Zakiem kwenye shangwe ya fainali, tukio litakaloanza saa 6 mchana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’