Kamati ya tuzo ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imefanya uteuzi wa wachezaji watano kuwania tuzo ya mchezazji bora wa kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)
Katika taarifa iliyotolewa na TFF, wachezaji waliotajwa kuwania tuzo hiyo ni Fiston Mayele, Bakari Mwamnyeto, Clement Mzize wote kutoka klabu ya Yanga na Prince Dube na Abdul Suleiman Sopu kutoka klabu ya Azam Fc

ADVERTISE HERE