Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi na benchi lake la ufundi wanakamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa kihistoria fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USM Alger
Mchezo huo utapigwa Jumapili katika uwanja wa Benjamin Mkapa






ADVERTISE HERE