Kwa Mkapa ni Full House

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 May 2023
Kwa Mkapa ni Full House

Zoezi la mauzo ya tiketi limefungwa rasmi baada ya tiketi zote za mchezo wa fainali kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Yanga dhidi ya USM Alger kununuliwa

Wananchi zaidi ya 50,000 watakuwepo dimba la Benjamin Mkapa kesho kushuhudia historia ikiandikwa na klabu ya Yanga

Kwa wale ambao hawana tiketi, wasubiri utaratibu wa kugawa tiketi zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan na wadau wengine

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’