Mzigo wa tiketi 5000 za Mama

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 May 2023
Mzigo wa tiketi 5000 za Mama

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan ametimiza ahadi yake kwa kutoa Tsh Milioni 25 kwa ajili ya tiketi 5000 alizoahidi kuelekea mchezo wa mkondo wa kwanza fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Yanga dhidi ya USM Alger

Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili, saa 10 jioni katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Msemaji wa Serikali Gerison Msigwa amekabidhi kitita cha Tsh Milioni 25 kwa uongozi wa Yanga

Mama hana 'mbambamba', amewawezesha Wananchi 5000 kwenda kuishangilia Yanga pale uwanja wa Benjamin Mkapa hapo kesho

Tayari Yanga imetangaza tiketi zote za mchezo huo zimenunuliwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
10h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
15h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
19h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
20h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
20h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’