Twendeni tukamnyoe USM Alger

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 May 2023
Twendeni tukamnyoe USM Alger

Wananchiiii sio ndoto ni kweli! Fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika iko hapo uwanja wa Benjamin Mkapa

Huu ndio muda wa kuelekea uwanjani kuipa sapoti Yanga kuhakikisha inashinda fainali hiyo ya kwanza dhidi ya USM Alger

Siku ya kihistoria! sasa ni zamu yetu Wananchi kutwaa taji la CAF, Why not us?

Kwa wale wenye tiketi muda wa kusogea uwanjani ni huu, lakini kama huna tiketi na huna uhakika kuipata ni bora ukabaki nyumbani kutazama mchezo kupitia TV

Kuna idadi kubwa ya mashabiki waliofika mapema uwanja wa Benjamin Mkapa wakisubiri tiketi za Rais Dk Samia Suluhu Hassan na Wadau wengine

Yawezekana tiketi zilizopo zisitoshe kwa watu wote, hapa ndipo umuhimu wa kukata tiketi yako mapema unapokuja

Mchezo unatarajiwa kupigwa kuanzia saa 10 jioni, mageti yanatarajiwa kufunguliwa saa 6 mchana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’