Uongozi wa klabu ya Yanga chini ya Rais Injinia Hersi Said amepokea kwa masikitiko taarifa ya kufariki kwa shabiki mmoja wakati akiwa katika jitihada za kuingia ndani ya uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia mchezo wa fainali kombe la Shirikisho dhidi ya USM Alger
Klabu ya Yanga imetoa pole kwa familia ya marehemu kufuatia msiba huo

ADVERTISE HERE