Yanga yaahidi ushindi dhidi ya Stand United

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Mar 2018
Yanga yaahidi ushindi dhidi ya Stand United
Muda mchache ujao, mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga watashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Stand United katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 21.

mchezo huo ni muhimu kwa Yanga kwa kuwa ushindi utaifanya ifikishe alama 46 na kuwafikia wapinzani wao katika mbio za Ubingwa, Simba.

Viingilio vya mchezo huo VIP A 30,000/- VIP B na C 20,000/- wakati mzunguuko ikiwa 5,000/-.

Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amewataka mashabiki kufurika kwa wingi uwanjani ili kuwapa sapoti wachezaji walio na dhamira ya kushinda mchezo huo
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’