Kikosi cha Yanga tayari kimewasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere tayari kwa safari ya kuelekea Algeria wanakokabiliwa na mchezo wa fainali kombe la Shirikisho mkondo wa pili dhidi ya USM Alger
Yanga inatarajiwa kuondoka nchini majira ya saa 5 na kuwasili Algeria majira ya saa 11 jioni







Kila la kheri Wananchi
ADVERTISE HERE