Mayele atua Mbeya tayari kuikabili Prisons

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jun 2023
Mayele atua Mbeya tayari kuikabili Prisons

Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele ametua mkoani Mbeya leo na kuungana na wenzake katika maandalizi ya mchezo wa mwisho msimu huu dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa Ijumaa

Mayele ni miongoni mwa wachezaji ambao walipewa mapumziko ya siku chache baada ya fainali ya CAF CC

Mayele amepania kuibuka mfungaji bora msimu huu na kazi hiyo atahakikisha anaikamilisha siku ya Ijumaa

Aidha Ijumaa kutakuwa na shamrashamra za ubingwa ambapo Yanga itakabidhiwa kombe baada ya mchezo dhidi ya Tanzania Prisons

Wananchi pia wanajiandaa na mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Jumatatu, Juni 12 2023 uwanja wa Mkwakwani Tanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’