Makka Edward shujaa mwingine aliyeibuka Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Mar 2018
Makka Edward shujaa mwingine aliyeibuka Yanga
Makka Edward ni mmoja wa viungo chipukizi wa Yanga ambaye amekuwa akionyesha kiwango cha hali ya juu kila anapopewa nafasi.

Leo katika ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Stand United, Makka ametengeneza mabao mawili yaliyofungwa na Ibrahim Ajib na Chirwa.

Ukizungumzia mafanikio ya kikosi cha Yanga msimu huu, Makka ni mmoja wa viungo walioifanya Yanga kuwa imara zaidi.

Tofauti na timu nyingine ambazo zikiwakosa wachezaji flani flani zinasaka pointi tatu kwa tochi, uwepo wa vijana kama Makka katika kikosi cha Yanga, kunaifanya timu hiyo isiwe na hofu hata inapowakosa baadhi ya wachezaji.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
16h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
20h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
21h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
21h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’