Klabu ya Yanga imethibitisha kumuuza kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' kwenda Azam Fc kwa dau ambalo halikuwekwa wazi kwa kuzingatia makubaliano ya pande mbili
Tunamtakia kila la kheri katika majukumu yake mapya

ADVERTISE HERE