Baada ya kubeba tuzo zote msimu uliomalizika kwa kuwa mlinda lango bora ligi kuu, kombe la FA na hata kombe la Shirikisho la CAF (CAFCC) mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra ameungana na timu ya Taifa ya Mali kwa ajili ya majukumu ya Kimataifa
Nyota watano wa kigeni wa Yanga wameitwa katika majukumu ya tiimu za Taifa kwenye mechi za kuwania kufuzu fainali za Afcon 2023
Pamoja na Diarra, wengine walioitwa timu za Taifa ni Fiston Mayele (DR Congo), Kennedy Musonda (Zambia), Stephane Aziz Ki (Burkina Faso) na Khalid Aucho (Uganda)
Nyota walioitwa timu ya Taifa ya Tanzania huenda TFF ikatangaza kikosi leo Jumatano
ADVERTISE HERE