Bacca aweka rekodi ya kushinda mataji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jun 2023
Bacca aweka rekodi ya kushinda mataji

Mlinzi wa kati wa Yanga Ibrahim Hamad 'Bacca', ameweka rekodi ya aina yake kushinda mataji katika misimu mitatu iliyopita

Nyota huyu wa zamani wa KMKM sio tuu kwamba anafanya vizuri uwanjani bali ni mshindi wa medali za kutosha kwa kipindi kifupi

Mwamba kutoka visiwani Zanzibar amebeba vikombe vyote kutoka ligi ya Zanzibar na Tanzania Bara

Akiwa KMKM , Bacca alishinda kombe la ligi kuu Zanzibar, kombe la shirikisho Zanzibar na ngao ya jamii, akafanya hivyohivyo Tanzania bara akiwa na Yanga katika misimu miwili iliyopita hivyo ameshinda kila kombe Tanzania. Bacca alijiunga na Yanga katikati ya msimu wa mwaka 2021/2022

Akiwa na KMKM na Yanga Bacca amevaa jumla ya medali Tisa, medali nane za ndani na moja ya michuano ya kimataifa ya kombe la shirikisho barani Afrika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’